Huduma huko AIC Bethlehem Geita 12/12/2021
HUDUMA KWA WAJANE AIC MKOLANI 20/09/2020
HUDUMA KWA WAJANE AIC NYAMBOGE TAREHE 30/08/2020
HUDUMA KWA WAJANE NYAKATO MWANZA
HUDUMA KWA WAJANE KWA MAMA YEGELA 25/07/2020
|
Ushuhuda wa mama Askofu Majige waleta kilio kwa wanasemina wote, makubwa ! |
|
Ushuhuda wa mjane huyu wamhuzunisha sana baba Askofu ! |
|
Askofu Musa Magwesela akiwaombea wajane. |
|
Hata Yesu alikula chakula pamoja na wanafunzi wake, vipi Askofu ? |
|
Mama Lukawe akielimisha wajane kalangalala 11/06/2016 |
|
Wajane hawa wakiifurahia meza ya fellowship |
|
Dr. Magesa na Mzee Byemero katika fellowship huko Bwiru Mwanza |
|
Kwa Neema ya Mungu tutafika tuendako kwa ushindi mkubwa |
|
Tunahitaji maombi yenu kabisa |
|
MAMM NA AIC NYAKATO KATIKA HUDUMA KWA WAJANE |
|
Kuwatunza wajane si kutupa au kupoteza, bali ni kumkopesha Mungu |
|
"Nalikuwa mgeni, mkanikaribisha" |
|
Kweli baada ya kufa matendo yako yatafuatana na wewe. |
|
Ndani ya nyumba hii amelala Hayati Baba wa Taifa. Pia Maria Nyerere anatazamia siku moja apumzike alipo mme wake mpendwa. |
|
makumbusho ya hayati Mwl. Nyerere |
|
Mwitongo Butiama |
|
Mwitongo Butiama |
Video inayoonyesha baadhi ya matukio ambayo yalifanyika siku hiyo ya uzinduzi wa HUDUMA YA WAJANE YA MAMA ASKOFU MAGESA...Unaweza kuitazama hapa
Video ya huduma ya wajane iliyofanyika katika kata ya kisesa
Baadhi ya picha na Matukio katika Huduma zitolewazo na MAMM
|
Wapendanao katika ministry |
Post a Comment